Monday, April 12Kiswahili kitukuzwe!

Makala

All Articles which are not categorized can fall in here

Ubantu wa Kiswahili
Makala, Nukuu Kidato cha nne

Ubantu wa Kiswahili

Kuna nadharia mbalimbali zinazozungumzia asili ya Kiswahili. Moja ya nadharia hizo ni ile inayodai kuwa Kiswahili ni Kibantu. Nadharia hii inaegemea zaidi vigezo vya ulinganishi baina ya Kiswahili na lugha zingine za Kibantu. Vigezo hivyo huonesha mfanano wa Kiswahili na lugha za Kibantu kama vifuatavyo; Kwanza ni mfanano wa msamiati wa msingi. Lugha ya Kiswahili na lugha zingine za Kibantu zimefanana sana katika msamiati hasa ule wa msingi. Kwa mfano; Neno la Kiswahili mwana linafanana na umwana (Kinyakyusa) na ng’wana – Kisukuma. Pia, neno jicho linafanana na iliso – Kizulu, eliiso – Kiruri, liso – Kisukuma na elisho – Kihaya. Mfanano huu unadhibitisha kuwa Kiswahili ni mojawapo ya lugha za Kibantu. Vivyo hivyo, vitenzi vya Kiswahili na vya lugha zingine za Kibantu vina miishilizi...
LAHAJA ZA KISWAHILI
Makala, Nukuu Kidato cha nne

LAHAJA ZA KISWAHILI

Karibu tena katika makala zetu zinazoegemea nukuu za kidato cha nne. Leo tutajadili kuhusu lahaja za Kiswahili Sanifu. Lahaja ni nini? Lahaja ni uzungumzaji tofauti wa lugha moja. Lahaja za lugha moja hutofautiana kimatamshi, kimiundo na kimsamiati.  Hizi hutokea katika lugha yoyote yenye wazungumzaji wengi. Kiswahili ni moja kati ya lugha ambazo zina wazungumzaji wengi. Kutokana na hili lugha hii ina lahaja nyingi. Mfano wa lahaja za Kiswahili ni Kimtang’ata, Kingazija, Kimvita, Kigwana n.k. AINA ZA LAHAJA Lahaja zinaweza kugawanywa katika aina tatu ambazo ni: Lahaja za Kijiografia / Kitarafa Hizi ni lahaja ambazo hujinasibisha na mahali. Kutokana na lahaja hizi tunatambua mahali mtu atokako. Kwa mfano; Lahaja ya Kiunguja hupatikana Unguja, Kimgao – Kilwa, Kiam...
Hadithi: Ngano
Makala

Hadithi: Ngano

Sindelera Karibu tena katika makala zetu zinazohusu fasihi ya Kiswahili. Katika makala ya leo tutajadili kuhusu tanzu mojawapo ya hadithi. Tanzu hiyo ni Ngano. Ngano ni nini? Ngano ni hadithi ya kimapokeo ambayo huelezea kisa cha wahusika wema na waovu ambapo mwishoni tunaona mhusika mwema anashinda. Mfano mzuri wa hadithi hizi ni kisa cha Sindelera.Ngano ni hadithi ambayo huwa na wahusika wa aina mbalimbali kama vile binadamu, wanyama, mizimu, mimea n.k. Hata hivyo wahusika hao huwakilisha matendo ya binadamu. Kwa kawaida ngano husimuliwa na wazazi, walezi, mabibi au mababu kwa watoto au wajukuu wao kwa lengo la kuwafunza vyema na kuwaburudisha. Kusudi kubwa la hadithi za kategoria hii ni kuelimisha jamii kwa kuonesha namna mwovu anavyopata adhabu. Pia, kukemea tabia zote...
Vitenzi vya Kiswahili Sanifu
Isimu, Makala

Vitenzi vya Kiswahili Sanifu

Aina hii ya neno huweza kufafanuliwa kwa kutumia vigezo mbalimbali vya kiisimu ambavyo ni; kisemantiki, kimofolojia na kisintaksia. Hata hivyo maana inayotokana na semantiki ndiyo huegemewa zaidi. Tazama hapo chini namna ya kufasili kitenzi kwa kutumia vigezo mbalimbali. Kisemantiki, vitenzi ni aina ya neno inayotaja tendo au hali ya kuwa. Kwa mfano; ...
Karibu Katika Blog Yetu
Makala

Karibu Katika Blog Yetu

Blog yetu inakusudi la kuelimisha na kujadili masuala mbalimbali kuhusu taaluma za Kiswahili. Pia, kutoa huduma za kufundisha Kiswahili kwa wageni pamoja na kutoa maarifa kwa wanafunzi na wadau mbalimbali wa Kiswahili. Pamoja na hayo pia itahusika kutoa huduma za tafsiri na ukalimani. Kiswahili kitakachotumika ni Kiswahili Sanifu (Tanzania). Mambo mbalimbali ya mahusiano na masomo ya afya yatajadiliwa kwa kina kwa kutumia lugha adhimu ya Kiswahili. Lengo ni kutoa mchango wetu katika lugha ya Kiswahili na kuwa miongoni mwa wadau wanaokipaza kiswahili ili kifike duniani kote. Mategemeo yetu ni kuifikisha mbali lugha hii huku tukirahisisha huduma zihusuzo taaluma hii.
Makala

Template: Sticky

This is a sticky post. There are a few things to verify: The sticky post should be distinctly recognizable in some way in comparison to normal posts. You can style the .sticky class if you are using the post_class() function to generate your post classes, which is a best practice. They should show at the very top of the blog index page, even though they could be several posts back chronologically. They should still show up again in their chronologically correct postion in time, but without the sticky indicator. If you have a plugin or widget that lists popular posts or comments, make sure that this sticky post is not always at the top of those lists unless it really is popular.
Makala

Post Format: Video (YouTube)

http://www.youtube.com/watch?v=nwe-H6l4beM The official music video of "Rise Up" from Eddy's Start An Uproar! EP. Learn more about WordPress Embeds.